Mbunge mstaafu na mwenyekiti wa zamani wa wekundu wa msimbazi Simba Ismai Aden Rage leo alikutana na waandishi wa habari katika ofisi za TFF.Akiwa kama mwakilishi wa timu ya Polisi Tabora katika sakata zima la upangaji wa matokeo ya ligi ya daraja la kwanza.Kamati ya nidhamu ya TFF ilitoa maamuzi ya kuishusha daraja tiu ya Polisi Tabora na baadhi ya wachezaji na viongozi kufungiwa.baada ya rufaa ya timu hiyo kukataliwa mheshimiwa huyu alikuwa na haya ya kuongea.
bofya hapa chini ujue mkwara aliowapiga TFF

0 comments:
Post a Comment