WAANDISHI, WASANII WALIVYOUNGANA NA KUSEREBUKA SIKU MAALUM YA DSTV


Waandishi wa habari na wasanii mbalimbali wameungana pamoja kusherekea siku maalum ya DStv ambayo imekuwa ikionyesha filamu za Kitanzania na Afirka kwa ujumla kupitia chaneli zake mbalimbali.

Ilikuwa sherehe fupi iliyojumuisha wafanyakazi wa Mulchoice Tanzania na ilibamba ile mbaya kwenye Hoteli ya kisasa ya New Africa jijini Dar es Salaam.









Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment