Hatimaye darasa la Ngorongoro limeibuka kidedea katika mashindano ya utangazaji katika chuo cha uandishi habari na utangazaji Arusha mashindano yaliyochukua takribani siku tano.
Darasa hilo baada ya kuingia fainali hiyo jana kati ya madasa 13ambapo leo hii limejishindia kombe pamoja na pesa tasiilimu shilling laki moja na nusu huku likifatiwa na darsa la Kilimanjaro nafsi ya pili wakijishindia laki moja darasa la serengeti limeshikili nafsi ya tatu na kupewa zawdi shilling elf sabini huku baadhi ya wanafunzi walio
Hata hivyo mkuu wa chuo hicho bw Joseph Mayagila amewapongeza wanafunzi wote walioshiriki na kuwataka wasibweteke bali waendelee kujituma ili wafanye vizuri katika mashindano mengine yatakayojitokeza
Kwa upande wake mkuu wa wa kitengo hicho Bw Onesmo Elia Mbise amesma mashindano hayo yamendeshwa kwa haki na usawa na majaji wamefuata kanuni zote za uhakiki wa vipindi lakini akiwataka wanafunzi wote kuongeza juhudi na kuiga vile vyote vizuri walivyoviona katika vipindi mbali mbali
Mashindano hayo ambayo ni ya tisa kufanyika chuoni yamekamilika hii leo huku wanafunzi wakionyesha mwitikio na ushindani mkubwa tofauti na miika mingine

0 comments:
Post a Comment