Alikiba katangaza utaratibu atakaotumia kuanza kufollow mashabiki wake

Sabas Tarimo  ni mtangazaji na mwandishi wa DIMBATZ ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, ambapo leo June 1 2016 ametusogezea hizi stori tatu ikiwemo ya utaratibu ambao Alikiba kaandaa kwa ajili ya kuanza kuwafollow followers wake.
“Nipo na utaratibu wa kuanza kuwafollow followers wangu kwa ajili tu ya kushow love na kila siku itakuwa na utaratibu wake kwa wiki labda nakuwa na mfollow mtu mmoja halafu namtoa angalau watu waone kama kuna mtu fulani nilimfollow ila lazima awe shabikiwa Alikiba”
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment