AudioMPYA:Time ya kuenjoy hii single ‘HAPO’ kutoka kwa G Nako, Quick Rocka na Jux…

Usiku wa May 28 2016 ndio siku rasmi ambayo wasanii wa Bongfleva G NakoQuick Rocka na Jux waliamua kufanya uzinduzi wa video ya ngoma yao waliofanya pamoja‘Hapo’ uzinduzi ulifanyika Azura Beach, sasa leo wameachia rasmi single ya video yao iitwayo Hapo.
Unaweza ukabonyeza play HAPA ukishamaliza kuisikiliza sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment