EXCLUSIVE: Jibu alilotoa Aunty Ezekiel kuhusu ndoa na Mose Iyobo

Mwigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTVna moja ya maswali ameulizwa ni kuhusu ndoa na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, yuko tayari kwa ndoa?
Amejibu >>> ‘Mose Iyobo ameniambia kuhusu ndoa lakini sijui, naiona poa kwasababu mwisho wa siku mwanangu anampenda sana baba yake na siko tayari kumpoteza Iyobo kwasababu ya mwanangu, yani ukiacha mazingira mengine yote nimemuahidi mtoto wangu furaha ya milele
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment