MOURINHO AFUNGUA AKAUNTI YA INSTAGRAM KWA MARA YA KWANZA, AME-POST UJUMBE HUU…

Mourinho-instagram
Baada ya kujiunga rasmi na  Manchester United, Jose Mourinho sasa ameamua kufungua akaunti ya Instagram.
Siku sita tu tangu tangu afungue akaunti hiyo, tayari ameweka post sita, ikiwa ni wstani wa posti moja kwa siku (je ataendelea kufanya hivi mpaka msimu mpya utakapoanza?).
Post yake ya kwanza inamuonesha akiwa na muigizaji maarufu wa filamu Guy Ritchie huku akiposti maneno yaliyojaa falasafa kutoka kwa muongozaji filamu huyo na kum-tag kwenye post hiyo.
Insemekana huu ni mpango maalum wa Kaimu Mtendaji wa Manchester United Ed Woodward kwa ajili ya kutumia njia hiyo kama moja ya vyanzo vya kuiingizia mapato klabu.

Comments

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment