Video: ILE SINEMA YA UCHAGUZI YANGA YAENDELEA TENA, UONGOZI WA YANGA WATOA MSIMAMO WAKE

IMG_9608-800x533
IMG_9608-800x533
Uchaguzi wa yanga umekuwa na mkanganyiko mkubwa sana kati ya YANGA,TFF na BMT.
Lakini pamoja na yote hayo kutokea uongozi wa Yanga leo umejitokeza na kutoa tamko la mwisho kuhusu lini uchaguzi huo utafanyika na pamoja na katiba ipi itatumika na kutoa maelezo ya  kadi gani zitakazotumika.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment