PICHA 6: Man United walivyoondoka Beijing kinyonge kwa kushindwa kucheza na Man City


Kikosi cha Man United kilichokuwa kimeweka kambi Beijing China kwa ajili ya mechi za maandalizi ya msimu pamoja na kucheza mechi za International Champions Cup, Man United wameondoka jioni ya July 25 baada ya kushindwa kucheza mechi yao na Man City kutokana na hali ya hewa na hali ya uwanja kuwa mbovu.
36944AE000000578-3707294-image-a-31_1469462551835
Man United wameshindwa kucheza mechi yao ya tatu ya mashindano ya ICC dhidi yaMan City baada kuahirishwa, Man United walicheza mechi yao ya kwanza na Wigan na kuifunga goli 2-0, lakini mechi ya pili dhidi ya Borussia Dortmund walifungwa goli 4-1.
3695588500000578-3707294-image-a-32_1469462861772
Kufutia kushindwa kucheza mchezo huo kocha Jose Mourinho, msaidizi wake Rui Fariapamoja na wachezaji wa Man United walionekana wakiingia kwenye basi kinyonge na kuanza safari ya kuondoka Beijing.
36941B6700000578-0-image-a-7_1469461022225
369421D000000578-0-image-a-10_1469461047914
36944B6600000578-3707294-image-m-34_1469462997734

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment