VIDEO: Magoli ya mechi ya Man United vs Borussia Dortmund July 22, Full Time 1-4


July 22 Manchester United inayofundishwa na kocha Jose Mourinho imekumbana na kipigo cha goli 4-1 kutoka kwa Borrusia Dortmund, katika mchezo wa kwanza wa mashindano ya International Champions Cup ambapo vilabu vingi hushiriki kama sehemu ya maandalizi ya msimu.
3681019A00000578-0-image-a-48_1469193147307
Man United wamefungwa goli 4 na kuambulia goli moja lililofungwa na Mkhitaryandakika ya 59, hiyo ni baada ya Dortmund kuongoza kwa magoli matatu yaliokuwa yamefungwa na Castro dakika ya 20, Aubameyang dakika ya 36,, Dembele dakika ya 57 kabla ya Castro kuhitimisha kwa kufunga goli la nne dakika ya 86.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment