Yamoto Band wanatualika kuisikiliza hii single yao mpya

Baada ya Yamoto Band kufanya vizuri kwenye single waliyomshirikisha Ruby iitwayo‘Suu’, sasa time hii wanatualika kuisikiliza hii single yao mpya iitwayo Mijudo, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa na wakali hawa wataiona hapa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment