Alichokisema Linah kuhusu mpenzi wake mpya kumvisha pete mwanamke mwingine

October 19, 2016 Soudy Brown mtangazaji wa U Heard ya Clouds FM amepiga story na msanii Linah ambaye inadaiwa anatoka kimapenzi na jamaa mmoja anaitwa Shebby. Soudy ametaka kujua kuhusu picha zilizoanza kuzagaa zikimuonesha Shebby akiwa anamvisha pete ya uchumba mwanamke mwingine.
Linah amesema anajua kwamba Shebby aliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke huyo na alizaa naye ingawa kwasasa wameachana hivyo haoni tatizo yeye kuwa na Shebby.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment