October
21, 2016 Ndani DIMBA TZ amepiga
story na inayedaiwa kuwa ni mke wa msanii maarufu kwa jina la Mjomba.
Stori kubwa ni kuhusu msanii aliyewahi kufanya poa kwenye music industry
ya Bongo Flava, Abubakar Mzuri ambaye alikuwa zao la mashindano maarufu
ya kusaka vipaji vya kuimba Bongo Star Search kufamaniwa na mwanamke
huyo.
Inasemekana
kwamba msanii huyo amefumaniwa baada ya mume wa mwanamke aliyekutwa
naye kuwa safarini nje ya nchi na baada ya kugundulika mchezo wake wa
kwenda nyumbani kwa mke wa mtu, Mjomba aliamua kutumia watu ambao
walimkamata na kumpa kipigo ikiwa ni pamoja na kumvunja mkono.
Baada ya
kuulizwa kama ni kweli juu ya kilichotokea, Mwanamke anayedaiwa
kufamaniwa hajanonesha kukataa jambo hilo ingawa hakua na majibu ya moja
kwa moja.
Pole ya nini tena? tatizo gani? kwani kufamaniwa ni jambo la ajabu au? kawaida tu kwahiyo mlikua mnatakaje?:-Mke wa Mjomba

0 comments:
Post a Comment