Baada
ya jana kuchezea kichapo cha mwendokasi, cha magoli 4 – 0 dhidi ya
wazee wa Darajani Chelsea The Blues, Nimezipata picha zinazowaonesha
wachezaji wa Manchester United na Kocha Jose Mourinho wakirejea nyumbani
wakiwa na nyuso za hasira na huzuni.
Miamba hao kutoka Old Trafford walijikuta wakibanwa pumzi na The Blues, sekunde ya 31 ya mchezo baada ya mchezaji Pedro.
Matokeo ya
mechi hii yameongeza kibarua kigumu kwa kocha Jose Mourinho kuweza
kubadili sura ya club hiyo ambayo imekua ikishuhudia vipigo mra kwa
mara.
Hapa nimekuwekea picha 7 za Manchester United baada ya kuondoka Stamford Bridge Jumapili jioni.






0 comments:
Post a Comment