Moja kati ya single zinazopata airtime ya kutosha kwenye TV na Radio stations mbalimbali kwa sasa ni single ya mkali Diamond Plantumz akiwa na Rayvanny iitwayo Salome.
Sasa basi leo wametuletea hii Behind the scene ya maandalizi ya video hiyo jinsi ilivyokuwa ikiandaliwa

0 comments:
Post a Comment