Baada ya kukaa Dar es Salaam muda mrefu kwa mchezaji wa Azam FC aliyefuzu kucheza soka katika klabu ya Tenerife ya Hispania Farid Musa kwa
sababu ya kukosa kibali cha kazi, hatimae October 26 2016 kibali
ambacho ndio kilikuwa kinatajwa kuwa tatizo kwa mchezaji huyo
kimepatikana, sasa safari ya Farid kwenda kucheza soka kwa mkopo Tenerife kimepatikana.

0 comments:
Post a Comment