Juzi
nilikupa habari kuhusu kocha wa Everton kuonyesha uhutaji wake wa
service ya Memphis Depay kwenye kikosi chake. Depay sasa hivi amekua
anahusishwa sana na Everton hadi club yenyewe imeanza kumzunguzia kwenye
social media pages zao.Depay amefunga goli kwenye mechi za kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia dhidi ya Luxembourg jumapili na Everton hawakuona hatari kumtaja mchezaji huyo kwenye twitter page yao.
Kwa njia yoyote ile kwa sasa hivi Depay hawahusu Everton na hawatajihusisha na kumtaja kwenye page zao. Sasa kutajwa huko kwamba amefunga goli ndiko kumechochea na kukamilisha kila dalili kwamba Depay anaweza kujiunga nao ikifika January.

Mchezaji hutu mwenye miaka 22 amepata nafasi chache sana za kucheza Manchester united. Nyingi anaingia kwa sub na umri wake bado anahitaji kcuhaza sana. Habari zaidi zinasema kwamba Depay ataenda Everton kwa mkopo sio kuuzwa kamili.

0 comments:
Post a Comment