November 14 2016 kwenye U Heard ya Soudy Brown amezungumza
na Calisah kuhusu video iliyomuonesha yeye akiwa na staa wa Bongo
Movie, Wema Sepetu wakikiss, Calisah amesema baada ya video hiyo kuvuja,
bibi yake alipoambiwa kwa sababu alikuwa anamtetea sana Calisah alipata
mshituko na kufariki……
>>>’Hayo
mambo yamesababisha mpaka nimepoteza mtu, amepata presha amefariki leo,
siko sawa kabisa imenicost sana hata siwezi kuongea nimepoteza bibi
yangu kwa sababu ya hivi vitu imeniumiza sana halafu mimi sijafanya
hivyo vitu nivujishe video ili iweje‘ ;-Calisah

0 comments:
Post a Comment