VIDEO: Man City yaiadhibu Burnley huku Aguero akiandika rekodi mpya

Michezo ya Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 inaendelea kama kawaida kwa leo November 26 kwa michezo kadhaa kuchezwa, mechi kati ya Burnley dhidi ya Man City ilikuwa ni miongoni mwa michezo iliyochezwa leo.
3ac470d300000578-3973820-image-a-104_1480168946992
Man City walikuwa ugenini katika dimba la Burnley kucheza mchezo wao huo wa 13 wa Ligi Kuu England, katika mchezo huo Man City walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1, magoli ya Man City yakifungwa na Sergio Kun Aguero dakika ya 37 na 60 wakati goli la Burnley lilifungwa na Dean Marney dakika ya 14.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment